Beres Hammond (aliyezaliwa kama ‘’’Hugh Beresford Hammond’’’, mnamo 28 Agosti 1955, Annotto Bay, Saint Mary, Jamaica) ni mwanamuziki wa mienendo ya reggae kutoka Jamaica ambaye hasa anajulikana sana katika mwenendo wa Lovers rock. Huku kazi yake katika fani ya muziki ikianza miaka ya 1970, alifikia mafanikio yake makuu mnamo miaka ya 1980s
Beres Hammond alizaliwa mwaka gani?
Ground Truth Answers: 195519551955
Prediction: